Kwa mujibu wa shirika la habari la "Abna" kwa kurejelea Al Jazeera, Israel Katz, Waziri wa Vita wa Israel, alidai kwamba ikiwa Iran itashambulia [Israel] kuzuia makubaliano na Lebanon, watajibu kwa nguvu kubwa.
Waziri wa Vita wa Israel pia alitangaza: "Nimeamuru jeshi kujiandaa kwa kuwepo kwa muda mrefu katika 'eneo la usalama' kusini mwa Lebanon."
Your Comment